SHAMLA SHAMLA ZA HAPPY BIRTHDAY














































MAMBO YA WEEKEND
















MAMBO WEEKEND
















Ni nani kati ya hawa atachukua nafasi ya Oprah mwaka 2011 atakapoacha kutangaza

Tyra Banks
Rachael Ray
Ricki Lake

Ellen Degeners

Judge Judy



Oprah Winfrey on Show’s End: It’s Time

On Friday’s live Oprah Winfrey Show, Oprah tearfully announced she has decided to end the show in September 2011. The Queen of Talk says she feels it is time to say goodbye to the show.
“After much prayer and careful thought, I decided that next season, season 25 will be the last season. I love this show…This show has been my life and I love it enough to know when it’s time to say goodbye,” Winfrey told her audience.
“These years with you, our viewers, have enriched my life beyond all measure,” she added. “We've grown together. You've raised your families, had your children. And left a spot for me in the mornings or the afternoons. … I want you all to know my relationship with you is one that I hold very dear.”
Winfrey’s next venture is her own cable channel, OWN: The Oprah Winfrey Network. OWN is expected to debut in 2010.

Nicole won

Nicole

Twilight yafika kileleni.

Cinema ya Twilight New Moon inaongoza sasa kwenye box office na sio kuongoza tu bali yavunja record iliyowekwa na cinema ya Harry Porter kwa mauzo.

Jordin Sparks Hospitalized with Acute Appendicitis

American Idol champ Jordin Sparks is hospitalized with acute appendicitis. Sparks underwent surgery to remove her appendix Wednesday.
The 19-year-old posted a message on Twitter Thursday thanking fans for their thoughts and prayers. Sparks said she was “feeling a little better but very sore.”
Sparks says she expects to be sidelined for “the next week or so.”

Model Daul Kim

Model amekutwa amekufa kwenye chumba chake Paris.
Agency yake imehakikisha kuwa chanzo cha habari hizo
Ni za kweli na watamkumbuka sana kwa yote aliyofanya na wanaacha muda huu kwa wanafamilia kuomboleza

Kiatu cha siku ya leo..(Shoe of the Day)


Rihanna akana Uzushi kuwa anatoka na actor Tristan Wilds

Rihanna simjui hata Tristan Wilds na namba yake ya simu sina
Sasa kama natoka nae siitakuwa ni utani sasa..
Mimi RiRi sitaki hata uhusiano kwa sasa ni maisha mengine kweli na sipo tayari kuyakabili kwa sasa.

UTAPELI MPYA HAPA BONGO

Story ifuatayo ni ya kweli maana imenitokea mimi binafsi jana tarehe 11/11/2009. Najua Kwa kiasi Fulani itakuwa inaninizalilisha Kwa kutokuwa makini lakini naona Ni vyema niwashirikishe rafiki zangu Ili msije mkatapeliwa Kama Mimi Na wengine wengi wameshatapeliwa Kama vile ndugu yake Galeba, laiti Galeba angeweza kutuelezea yaliyomsibu ndugu yake labda na mimi ningeweza kuepuka utapeli huu. Kinchosikitisha matapeli wenyewe ni watu wanaotufahamu vizuri.-----------------------------------------------Mnamo muda wa saa tano asubuhi nikiwa nyumbani (nipo likizo) nikapokea simu nisiyoifahamu kutoka kwa mtu ambaye alijitambulisha ananifahamu, na kwa jinsi alivyonitaja kwa jina na career background details zangu sikuwa na shaka kwamba hanifahamu. Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:TAPELI: Mr. Alex Matovu habari za siku nyingi.Mimi: NzuriTapeli: Vipi bado unafanya kazi Blue Financial Services?Mimi: Hapana, nani mwenzangu?Tapeli: John, nilikuwa nafanya kazi Wizara ya elimu, na uliwahi kunisaidia nikapata mkopo, ila kwa sasa nipo World food programme, Kigoma kama Chief supplies officer.Mimi: okay sasa nikusaidie nini John (ukweli nikwamba sikumkumbuka ila kwa kuwa tulikuwa tunatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali, siku jiuliza sana , after all alikuwa hajasema anachotaka)Tapeli: Sasa nina issue naomba unisikilize kwa makini, kama unavyofahamu WFP tunatoamisaada ya vyakula hivyo tuna maghala makubwa ya kuhifaadhi chakula, hivyo ili kuhakikisha vyakula haviharibiki huwa tuna weka presavative inayoitwa Damoline Liquid solution made in Sweeden, hii inapatikana MSD na kwa licensed dealers kama Mohamedi Enterprises. Kwahiyo tuli float tender mwaka jana na supplier aliyeshinda tulikubaliana anipe 10% lakini baada ya ku supply hayo madawa akanidhulumu na kunitisha kuwa iwapo nitamdai hiyo 10% angeniripoti kwa mabosi wangu. Kwa hiyo sikuwa na cha kumfanya bali kusubiri contract yake iishe alafu nimtafute supplier mwingine. Sasa ndio nikaona nikupigie ndugu yangu maana nakujua wewe hii kazi utaweza kuifanya ukizingatia unalipwa cash on delivery!NOTE: nimeshawahi ku deal na supplies officer wengi hivyo sikuwa na doubt yeyote, bali nikaona hii is just another deal kama ambazo nimeshawahi kufanya successfully.Mimi: Okay sasa unataka nifanye je?Tapeli: Unachotakiwa kufanya ni kwenda MSD umuone Dr. Shija, huyu ndiye mkuu wa hapo na ndiye aliyekuwa supplier wetu wa zamani aliye ni dhulumu, sasa kwa kuwa sitaki kumpa kazi tena, wewe uende ujifanye unaulizia hiyo liquid solution, na u negotiate ujue atakuuzia shillingi ngapi. Kwahiyo nakutumia simu yake mpigie muongee akupe quotation, alafu akisha kupa bei nipigie ili nikuelekeze cha kufanya.Basi wandugu nikampigia dr. shija, mwanzoni shija ana hesitate kuzungumza na mimi aki pretend kuwa hapendi kuongea na strangers na akataka kujua namba yake nimeipataje, sasa kwa kuwa siwezi kumwambia ukweli kuhusu aliyenipa namba yake, ikabidi na mimi niwe muongo kwa muda, nika pretend kuwa mimi ni mkulima na nahitaji hiyo presavative kwa ajili ya maghala yangu yaliyopo arusha. Basi akawa na imani na kukiri kuwa anayo stock yakutosha, na hiyo liquid inauzwa kwa pair ya chupa mbili zenye ujazo wa 1000mls, kila pair ni 1.2m. Sasa angalia nilivyoingia katika mtego, baada ya kunipa bei ni kaomba punguzo na akasema atauza kwa 1million.Nikafanya kama nilivyoelekezwa na John wa WFP kuwa baada ya kupata bei nimjulishe nilivyomjulisha akasema kinachofuata ni kuwa mimi nitauza kwa USD. 1700, na tofauti kwa maana ya faida tutagawana, hivyo nisubiri aniunganishe kwa bosi wake for further final details.Basi wandugu kama mnavyonijua katika issue za fwedha, nikachukua calculator ya simu ili nijue deal ina shillingi ngapi, hela zilivyokuwa nyingi hata calculator iligoma, maana WFP wanahitaji 50 pairs @ usd 1700, mimi nanunua kila pair kwa 1million ambayo ni kama usd 770 hivyo difference usd 930 x 50 pairs = USD 46500, ALAFU tunagawana pasu pasu. Guys you can imagine what was going on in my head!Basi kweli muda si mrefu nikapigiwa simu na huyo bosi wake ambaye ni mzungu na mazungumzo yalikua kama ifuatavyo:MZUNGU: This is Mr. Scheinder from WFP, are you the new supplier?MIMI: YESMZUNGU: Do you have enough stock of Damoline Liquid solution; we are looking for 50 pairs?MIMI: Yes I have sufficeint stockMzungu: what is your price per pair?Mimi: $1700Mzungu: ahaaaaaaaa thats a very good price, do you want to be paid in dollars or TZSMIMI: Dollar of course, you how how unstable the local currency is ( Hapo tena na mimi nataka kuonyesha kuwa ni International businessman)Mzungu: No problem, we have enough dollars, you want to be paid cash or by cheque?Mimi:CashMzungu: Okay no problem, now listen very carefully mr. new supplier we need this liquid urgently possibly today, and since you have said you have enoughstock we are taking off this morning from Kigoma coming to Dar, please arrange for the transport to take us to Movenpick, we will pay usd. 200 for your fuel, but most importantly make sure you bring one pair of the sample with you.Mimi: No problem at all I have been in this business for quite sometime now you can be sure everthing will be fine.Masikini bila kujua nimeingizwa kingi, nikachukua cheque book, nikaandika cash withdraw 1million ili nikanunue sample yakwenda kuwaonyesha wateja wangu. Baada ya kutoka bank nikampigia dr. shija ili aniuzie hiyo sample, akasema kwa sasa ametoka ofisini ila sample anazo katika gari na alikuwa anaelekea Mwananyamala hosp, then Magomeni alafu Muhimbili, hivyo tukutane Magomeni hosp. Yaani jinsi nilivykuwa naendesha gari basi hata kama ni mashindano ningeweza kushinda, basi mimi mbio mpaka magomeni hosp namsubiri dr. shija. Nikampigia akasema yupo ndani hospitalini na yupo na mabosi wake asingeweza kutoka ila anamtuma kijana wake nimpe hizo fedha na yeye anipe hizo dawa, kweli ikawa hivyo kijana akaja akaingia kwenye gari nikamwambie anipe hizo sample kwanza nikazisoma ziko exactly kama WFP wanavyotaka! NIKAKABIDHI HELA 1 MILLION. Bila hata aibu yule kijana akaniomba 50,000/= nikamwambie asijali maana deal kubwa itakamilishwa saa nane.Kwa kuwa wageni wangu walishaniambia niwaaandalie usafiri, nikampigia dreva tax wangu aje airport saa nane, nikamuuliza bei kutoka airport mpaka movenpick ni ngapi akasema 25,000 nikamwambia usijali ntakupa 50,000/=!!!!!!!!!!!!! (kumbuka mimi ntalipwa usd 200 ya usafiri).Basi Mimi mbio nikaenda airport terminal one kusubiri ndege ya WFP Ili tumalize biashara, nilipofika kuulizia reception nikaambiwa hakuna kitu cha namna hiyo Na Mimi Ni mtu WA 10 kutapeliwa, basi tena nikajirudia kimya kimya. Nikaenda kula chefs pride nikamsimulia jamaa mmoja yaliyonisibu, kabla sijamaliza akasema hata ndugu yake ametapeliwa wiki iliyopita, nikampigia Galeba akasema yeye jamaa yake alipigwa 3.5m last week.Taarifa nilizonazo mpaka nikuwa hii ni network ya wahaya na mpaka sasa ni wahaya wengi wameishaibiwa ukilinganisha na makabila mengine.

America Next Top Model yaingia fainali na kuna Nicole na Laura kama wanavyoonekana katika picha.

NICOLE
NICOLE


LAURA


LAURA


LEO KATIKA BLOG YETU TUMEWALETEA ZAWADI BOMBA ZA CHRISTMAS KWA AJILI YA WAPENDANAO

pink-make-up-case
Pesa

ritulle-body-butter



lipstick-set


perfume

CHRISTMAS YAJA NA WANATAKA KUPATA ZAWADI TOKA KWA WAPENDWA WAO LEO TUPITIE ZAWADI NZURI KAMA MANUKATO, LOTION, PESA NA NYINGINE NYINGI SANA ZAWADI HIZI ZINAONYESHA JINSI GANI TWAKUMBUKANA WAKATI WA MSIMU WA SIKUKUU



TUIGENI MAPOZI TOKA STATE HOUSE MPAKA RED CARPET TUJIFUNZE KITU TOKA KWA HAWA NA MAPOZI YAO

Kim






Hayden




Jennifer